Fact

CRIME SIO MORAL BUT FINANCIAL ISSUE

Nishai kua mkoma for one day. Nikiwa high school, morio wangu alipiga mtu tapo, ufala tu. Sio ati mtaa kilikua kimeraise, ni ile utoto ya teenage, kufuata bila kujiuliza maswali. Morio akakula tenje ya mtu, tukiwa Black Rock, pale St. Mary’s. Scene ilikua ivi; jam inasonga pole pole, ndio giza Read more…

By Victor, ago